Wednesday, March 3, 2010

THREE THINGS TO SUCCES.

Hello Lades and Gentlemen!! Today in This Page we are going to look upon THREE Things which every one is in need of so as he/she may reach in to SUCCESS, Namely;




PLANNING.

IMPLEMENTATION

OUTCOME.


PLANNING.



First of all make sure that you make a number of plans for what you are going to do for that particular time.



Try to asks your self what to do? how to do? where to do? and at what cost? After that you will be able to say that you have made a plan if you have the answers of the above questions.






IMPLEMENTATIONS.



After you have already made you plans try to make the implementations of it. If you will fail to implement your plans you will not going to reach the success.



OUTCOMES



When we are talking about OUTCOMES, there are Two kind of it namely;





POSITIVE OUTCOME.

NEGATIVE OUTCOME.


So, when you make a wrong implementation you will end up with NEGATIVE OUTCOME,


when you made a good implementation you will end up with POSITIVE OUTCOME; and that is what we call it A SUCCESS.

WHAT NEXT AFTER DEATH!!!!!

Way 2 Groovy Site
Where will you go after you die?








1. Acknowledge you are a sinner:
"For all have sinned, and come short of the glory of God;'' Romans 3:23.

Yes, you too have fallen short of Heaven because of your sin. You may be better than many others. but compared to Jesus "They are all gone out of the way, they are together become unprofitable; there is none that doeth good, no, not one." Romans 3:12.

2. Realize and acknowledge:

" For the wages of sin is death; but the gift of God is eternal life through Jesus Christ our Lord".
Romans 6:23

There are two kinds of death, physical and spiritual. One we inherited from Adam and the other we earn for ourselves. Adam's sin brought physical death totally. But, because of our sin. we must die a second death eternally in Hell, unless we find a way to pay for our sin and thereby remove its penalty of Fire and brimstone, which is the second death.

"But the fearful, and unbelieving, and abominable, and murderers, and whoremongers, and sorcerers, and idolaters, and all liars, shall have their part in the lake which burneth with fire and brimstone: which is the second death." Revelation 21: 8.

3. Realize and acknowledge:

"For I delivered unto you first of all that which I also received, how that Christ died for our sins according to the scriptures;"

I Corinthians 15:3.

Jesus paid the entire price for you by his death on the cross. A Holy and just God set the price on sin, and then in love, paid it Himself in the person of Christ.

4. Realize and acknowledge:

'the gift of God is eternal life through Jesus Christ," Romans 6:23.

He bought it. He owns it. He freely gives it. We are not saved by believing a story about a has-been. Christ is alive today! "knowing that Christ being raised from the dead dieth no more, death hath no more dominion over him," Romans 6:9.

He has power and victory over death and sin and offers the same to you as a gift, not a reward.

5. Realize and acknowledge:

"Whosoever shall call upon the name of the Lord shall be saved,'' Romans 10:13.

This is a promise. Whosoever means you.

Not whosoever is a church member, or is baptized, or is confirmed, or takes communion, or does the best he can, but whosoever shall call believing in Jesus.

Here is how you can be 100 per cent sure of Heaven.

6. Confess and ask:

Just say this simple prayer,

Dear Lord,

I'm sorry I am a sinner, please forgive of my sins and come into my heart.

In Jesus Name,

Amen

After you say the prayer if you really meant it. Jesus will never leave you. Your sins are forgiven. You are saved forever.

" Let your conversation be without covetousness; and be content with such things as ye have: for he hath said, I will never leave thee, nor forsake thee." Hebrews 13:5.

" And I give unto them eternal life; and they shall never perish, neither shall any man pluck them out of my hand.
My Father, which gave them me, is greater than all; and no man is able to pluck them out of my Father's hand.
I and my Father are one." John 10:28-30.

"Who shall separate us from the love of Christ? shall tribulation, or distress, or persecution, or famine, or nakedness, or peril, or sword?
As it is written, For thy sake we are killed all the day long; we are accounted as sheep for the slaughter.
Nay, in all these things we are more than conquerors through him that loved us.
For I am persuaded, that neither death, nor life, nor angels, nor principalities, nor powers, nor things present, nor things to come,
Nor height, nor depth, nor any other creature, shall be able to separate us from the love of God, which is in Christ Jesus our Lord." Romans 8:35-39

Nothing can separate us from Jesus if you meant what you said when you prayed the above prayer, then you are His child forever.










I would really love to know if you asked Jesus into you heart or if you have any further question about salvation.

email me

WAFAHAMU WACHAGA- KILIMANJARO.

Wachagga
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Wachagga ni kabila la watu wenye asili ya Kibantu wanaoishi kaskazini mwa Tanzania chini ya mlima Kilimanjaro, mkoani Kilimanjaro. Shughuli kubwa ya Wachagga ni biashara na kilimo.
Wachagga ni kabila la tatu kwa ukubwa nchini Tanzania. Takwimu za mwaka 2003 zinaonyesha kuwa idadi ya Wachagga mkoani Kilimanjaro ni 200,000.
Yaliyomo[ficha]
1 Vikundi vya Wachagga
2 Lugha ya Kichagga
3 Historia ya elimu kati ya Wachagga
4 Kilimo na chakula
4.1 Ndizi za Wachagga
4.2 Wachagga na muhogo
4.3 Ulaji kiti-moto
5 Majina ya Kichagga
6 Utawala wa jadi ya Wachagga
7 Ardhi
8 Maoni juu ya Wachagga
9 Viungo vya nje
//
[hariri] Vikundi vya Wachagga
Wachagga wana historia ndefu ya asili yao na maingiliano yao na makabila mengine. Kabila la kichagga ni mkusanyiko wa makabila madogo madogo (ya Kichagga) yaliyosambaa kijiografia kuzunguka mlima Kilimanjaro kuanzia Mashariki Tarakea, Rombo hadi magharibi ya Kilimanjaro Siha, Machame. Makabila ya Kichagga ni Wa-Rombo, Wa-Marangu, Wa-Old Moshi, Wa-Kibosho, na Wa-Machame. Makundi mengine madogo ya wachagga ni Wakirua-Vunjo, Wa-Uru, na Wa-Siha.
[hariri] Lugha ya Kichagga
Lugha ya Kichagga, inabadilika kuanzia unapotoka Tarakea mpaka unapofika Siha magharibi mwa Kilimanjaro. Kutokana na tofauti hizo Kichagga kimegawanyika katika Kirombo, Kimarangu, Ki-Old Moshi,Kikibosho, Kimachame, Kikirua na Kisiha. Lugha hizi zinakaribia kufanana kulingana na jinsi makabila hayo yalivyopakana. Kwa mfano, Ki-Old Moshi kinafanana na Kikirua, ambacho nacho kinafanana kidogo na Kimarangu. Vile vile Kisiha kinafanana sana na Kimachame ambacho pia kinafanana kidogo na Kikibosho. Baadhi ya Wamachame walihamia sehemu za Meru Arusha na kuchanganyikana na Waarusha, lugha yao ikabadilika kidogo na kuwa Ki-meru. Kwa sababu hii Wameru wanasikilizana sana na Wamachame ingawa lafudhi zao zinatofautiana kidogo.
[hariri] Historia ya elimu kati ya Wachagga
Wachagga wanajulikana kwa uwezo wao mkubwa wa kufanya biashara na pia kilimo. Moshi ni maeneo ya mwanzo ambayo Wamisionari wa Kikristo walijenga makanisa na shule. Sababu hii imefanya Wachagga kuwa kati ya kabila lenye watu wengi walio na elimu ya kisasa na mkoa wa Kilimanjaro kuwa unaongoza kwa idadi ya shule za sekondari nchini Tanzania.
Shule nyingi za sekondari ziko katika mkoa huu kwa sababu zifuatazo: 1) Hali ya hewa na vivutio vya kitalii katika mkoa huu viliwavutia zaidi walowezi na wakoloni na kuweka makazi yao hapo. Hivyo wamishinari walijenga shule za kwanza wakifuatiliwa na serikali za wakoloni 2) Serikali ya Tanzania ilirithi shule zilizojengwa na wakoloni 3) Wachagga waliobahatika kupata fedha binafsi baadaye waliwekeza kwenye ujenzi wa shule binafsi kama kitega-uchumi. Wakati wakazi wa mikoa mingine walisubiri serikali iwajengee shule. 4) Ukichanganya sababu 1,2 & 3 utagundua shule katika mkoa Kilimanjaro vimezidi sana idadi ya shule katika miko mingine yote.
Ni vema pia kusema kwamba shule hizi kuvutia wanafunzi kutoka Tanzania nzima, haziwasomeshi wachagga tu.
[hariri] Kilimo na chakula
Wachagga hulima mazao ya chakula kama vile mahindi, maharagwe,viazi, ndizi, ulezi na mboga mbalimbali. Mazao ya biashara kama vile kahawa, nyanya na vitunguu.
[hariri] Ndizi za Wachagga
Ingawa wachaga wa leo wanakula vyakula mbali mbali kama vile ugali, wali na viazi, chakula kikuu cha Wachagga ni ndizi. Kuna ndizi za aina mbalimbali na hutumika kwa matumiza tofauti. Mfano ndizi kisukari ni fupi na huachwa hadi ziive na huliwa mbivu kama tunda. Ndizi mshare kukatwa zikiwa mbichi na kupikwa chakula mbalimbali pamoja na nyama ya ngombe, kondoo au mbuzi. Mara nyingine hupikwa na maharage. Vyakula vya ndizi huja kwa ladha tofauti kama vile ndizi nyama mtori machalari, kiburu na kadhalika.
Aina nyingine ni ndizi-ngombe ambazo huachwa ziive halafu humenywa na kutumiwa kutengenezea pombe maarufu iitwayo mbege. Mbege hutengenezwa kwa kutumia ndizi mbivu, maji, na ulezi.
Aina nyingine ni ndizi-mzuzu. Hizi zikikomaa huachwa zianze kuiva kidogo halafu huchomwa na kuliwa kama kitafunwa pamoja na chai au pombe. Ukipita mitaa ya Darisalamu utaona ndizi- mzuzu zikichomwa sambamba na muhogo au kuku-vumbi au kiti-moto.
[hariri] Wachagga na muhogo
Inasemekana kuwa "mchagga halisi, hali muhogo - akila muhogo atakufa". Usemi huu umetokana na historia ya mababu kuwa wachagga waliopanda mihogo Kilimanjaro enzi za kale walikufa baada ya kuila. Historia hiyo yaweza kuwa ya ukweli kwa sababu aina nyingi za mihogo zinajenga sumu ya sianidi ndani yao; watu waliozoea kutumia mihogo huwa na njia za kuondoa sumu kwa kwa kuiloweka mihogo katika maji kwa muda. Lakini kama Wachagga wale wa zamani hasa wa Machame walifanya jaribio bila kujua mbinu ya kuondoa sumu ajali iliweza kutokea. Cha kushangaza ni kwamba huko huko Kilimanjaro, majirani na watani wa wachagga yaani Wapare walikuwa wameshazoea mihogo na ilikuja kuwa moja ya chakula chao kikuu.
[hariri] Ulaji kiti-moto
Pamoja na kilimo cha mazao, wachagga hupendelea sana kufuga nguruwe. Tabia ya kula nyama ya nguruwe ijulikanayo leo kwa jina la "kiti moto" ni moja ya mambo yaliyoenezwa na wachagga. Ulaji wa "kiti moto" haukupendeza baadhi ya wenyeji wa Pwani kama Dar es Salaam ambapo wachagga walihamia, kwani wakaaji wengi wa Pwani ni waisalmu kwa hiyo nguruwe kwao ni haramu. Wakazi wa Dar es Salaam watokao makabila mengine na wasiyo waisalmu kwao kula nguruwe ilikuwa "ruksa".
[hariri] Majina ya Kichagga
Majina ya kiukoo ya kichagga pia huashiria ni wanatoka sehemu gani uchagani: Mfano familia maarufu za Kichagga nchini Tanzania ni kama Kimaro, Swai, Massawe, Mushi, Lema, Urassa, Nkya, ndosi, Meena hutoka Machame. Akina Temu, Mlaki, Mlay, Lyimo, Moshiro, Mselle, Kileo, Kimambo, Tesha wanatoka Old moshi na Vunjo. Mariki, Tarimo, Laswai, Mallya, Mrema,Mkenda, Mramba,Kauki Wanatoka Rombo. Sawe, Usiri,Shayo, Kiwelu, Makundi, Urasa, Moshi,Meela, Minja Njau wanatoka Marangu. Rite, Makule, Minja, Mashayo, Chao, Shao, Makawia, Ndesano, Kimario, Tilla, Mariale, Tarimo, Mafole, Kituo, Mrosso, Lyakundia, Kessy, Mmbando, Matemba, Ndenshau, Morio, Akaro,Matowo, Towo, Mkony, Temba na kadhalika hutoka Kibosho. [Tafadhali hariri mpangilio wa majina haya au kama kuna majina yaliyokosewa]
Pia inasemekana kuwa, Wachagga wengi hupenda kurudi nyumbani kipindi cha Krismasi, ikiwa ni kuwatembelea wazazi wao, rafiki, au ndugu. Ingawa wengi hudhani kwamba Wachagga wameathiriwa sana na dini ya Kikristo, inaaminika pia kuwa kurudi kwao Uchagani wakati wa Krismasi ni pamoja na kutembelea ndugu zao.
[hariri] Utawala wa jadi ya Wachagga
Watawala wa kichagga waliitwa "Mangi". Hawa walihodhi mashamba, ngombe na waliheshimiwa kama viongozi wa kikabila. Walikuwa na nguvu za kisiasa na utajiri. Baadhi ya ma-mangi mashuhuri katika historia ni kama Mangi Rindi aliyeingia mikataba na wakoloni (wajerumani), Mangi Sina wa kibosho - anajulikana kwa uhodari wake wa vita katika kupigana na wamachame na kupora ngombe na mazao yao na Mangi Marealle wa Marangu na Vunjo. Wakoloni walipokuja Kilimanjaro waliingia mikataba na viongozi hawa wa kikabila ili kuweza kuweka misingi yao ya kikoloni. Pia ndugu na watoto wa ma-Mangi walikuwa wa kwanza kupata elimu ya kikoloni, kwa hiyo waliweza kushirikishwa katika serikali za kwanza. Hawa pia wanaaminika walikuwa ni kama mabepari wa kwanza wa ki-jadi, maana walifanyiwa kazi na watu wengine wakati wao ma-mangi wamekaa kuhesabu mali zao. Usemi maarufu wa "u-Mangi-meza" inawezekana kuwa umetokana na watawala hawa wa kichagga.
[hariri] Ardhi
Ingawa ardhi ni msingi wa maendeleo kwa watu wote, kwa wachagga, ardhi ni mali sana kwa sababu kilimo chao ni cha mazao ya kudumu kama kahawa na ndizi hukaa shambani kwa muda wa miaka mingi. Mojawapo ya urithi wapewayo watoto ni "kihamba". Hii ni sehemu ya ardhi ambayo mtoto anategemewa atajenga na kuanzisha familia yake. Bahati mbaya watoto wa kike walikuwa hawapewi kipaumbele katika ugawanaji wa vihamba. Uhaba wa ardhi uchagani ulipelekea wachagga wengi kuhamia mikoa mingine. Hivi leo utakuta wachagga wakiishi Dodoma, Morogoro, Iringa, Mbeya nk wakiwa wamepanda migomba yao na kuendesha biashara za maduka ya vyakula. Ukienda kwenye mikoa hii utakuta wamejenga jamii zao na vyama vyao vya kusaidiana wakati wa sherehe au matatizo. Aidha hata pombe ya mbege utaweza kuikuta katika makusanyio ya wachaga mikoani mbali mbali.
[hariri] Maoni juu ya Wachagga
Ingawa wanaume wa kichagga hupendelea kufanya kazi mbali na kwao, wake zao hukaa nyumbani (Moshi) na hufuga ngombe na kazi za shambani. Wanawake wa kichagga hujulikana kama wafanyakazi hodari. Huchangia sana katika mapato ya nyumbani na chakula. Ingawa kipato cha wachaga ni kikubwa kulinganisha na cha makabila mengine, takwimu zinaonyesha watoto wa mkoa wa Kilimanjaro kuwa kuongoza kwa utapiamlo. Sababu kubwa ya watoto kuwa na utapiamlo kunatokana na wazazi kujali zaidi kazi kuliko muda wa kuwahudumia watoto. Wengi wa wototo ni wale ambao wazazi wao ni watu wapombe na kipato chao kinaishia kilabuni. Utaona kwamba uchagani kuna vilabu vingi vya pombe na vinaongezeka kwa sababu imekuwa nibiashara kubwa. Karibu kila kaya kumi natano kuna kila cha pombe na kiwango cha chini kabisa cha pombe inayouzwa kwa siku katika vilabu hivyo si chini ya dede sita au lita mia moja. Pombe ni sababu moja ya watoto kuwa na utapiamlo Hii inawezekana kuwa matunda ya wazazi kutowalisha watoto wao chakula cha kutosha au chakula bora. Kuna sehemu nyingine za Uchaggani kama Old Moshi na Kibosho ambapo watoto wadogo hupewa pombe ya mbege asubuhi mchana na jioni. Sababu nyingi ni kazi; mama wa kichagga anaweza kushinda shambani kutwa na hawana desturi ya kubeba watoto mgongoni kwenda nao shambani hivyo wanakuwa nyumbani ama wenyewe au na mayaya. Mfano ulio dhahiri ni nyakati za asubuhi na mapema kwenye vyombo vya usafiri karibu robo tatu ya abiria ni wanawake wakienda katika shunguli za kiiashara na kilimo na vivyo hivyo nyakati za jioni wakirudi majumbani. Hao ni nje ya wale wanaotumia usafiri wa miguu ambao ni wengi zaidi. Pia baadhi ya wamama wa kichaga wanawajali waume zao zaidi kwani nyama nzuri ni ya baba. Kuepuka gharama baba ataandaliwa chaula kizuri tofauti na chakulawalichoandaliwa watoto japo ni chakula kilekile.
[hariri] Viungo vya nje
Historia ya Kilimanjaro
Kisa: Kumuona Mchagga

Makala hiyo kuhusu "Wachagga" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".
Ikiwepo makala kuhusu Wachagga kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.
Rudishwa kutoka "http://sw.wikipedia.org/wiki/Wachagga"
Jamii: Mbegu Tanzania Makabila ya Tanzania Wachagga
Mitazamo
Makala
Majadiliano
Hariri
Historia
Vifaa binafsi
Jaribu Beta
Ingia/ sajili akaunti

if (window.isMSIE55) fixalpha();
Safari
Mwanzo
Jumuia
Matukio ya hivi karibuni
Mabadiliko ya karibuni
Ukurasa wa bahati
Msaada
Michango
Tafuta

Vifaa
Viungo viungavyo ukurasa huu
Mabadiliko husika
Kurasa maalum
Ukarasa kwa kuchapa
Kiungo cha daima
Cite this page
Lugha nyingine
Deutsch
English
Esperanto
Français
Hrvatski
日本語
‪Norsk (bokmål)‬
Русский
Srpskohrvatski / Српскохрватски
தமிழ்
Українська


Ukurasa huu umebadilishwa kwa mara ya mwisho tarehe 21 Februari 2010, saa 14:23.
Maandishi yanapatikana chini ya leseni ya Creative Commons Attribution/Share-Alike License; matakwa mengine yanaweza kutakiwa. Tazama maelezo zaidi ya Matakwa ya Utumiaji.
Sera ya faragha
Kuhusu Wikipedia
Kanusho