Friday, February 19, 2010

MAISHA YA WATU NI SINEMA & KILA MTU ANATOFAUTIANA NA MWENZAKE KIMAISHA!!!!!!

Nafikiri tunapozungumzia maisha kila mtu anaelewa kabisa.

Ukijaribu kufuatilia matukio yako wewe binafsi ua ya wenzako

utaweza kukubali kuwa maisha ni SINEMA. Na pia hubadilika siku baada ya siku.

TOA MAONI YAKO!!!!!!